#uncategorized

JENGO LA MAUTI BUNGOMA

Idadi ya watu isiyojulikana ingali imekwama kwenye vifusi baada ya kuangukiwa na jengo lililokuwa likibomolewa katika soko la kanduyi kaunti ya bungoma.


Jengo hilo limekuwa chini ya ubomozi wa kaunti hiyo kuanzia wikendi iliyopita kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa wa masinde muliro kwa matayarisho ya sherehe za madaraka.


Waliofukiwa kwenye vifusi wanaripotiwa kuwa walikuwa wakichukuavyuma vikuu kuu ili kabla ya mkasa huo kutokea, walioshuhudia wakisema walikuwa wameonywa baada ya jengo hilo kuonyesha dalili za kuporomoka.


Hadi sasa shughuli za uokoaji zinaendelea huku idadi ya waliofariki ikiwa bado haijulikani.

KAMBI MPYA ZA WAADHIRIWA WA MAFURIKO

TUWASHAURI WATOTO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *