#uncategorized

YUSUF HASSAN MBUNGE WA KAMUKUNJI AMESAMBAZA CHAKULA CHA MSAADA KWA WAADHIRIWA WA MAFURIKO

Mbunge wa Kamukunji Yusuf Hassan amesambaza chakula kwa zaidi ya watu 10,000 wote wakiwa waadhiriwa wa janga la mafuriko katika eneo bunge hilo.


Akizungumza katika kituo cha usambazaji maji eneo bunge Yusuf amesikitika kwamba mafuriko makubwa yaliyoshuhudiwa katika siku chache zilizopita yameacha athari mbaya kwa familia na watoto wanaoenda shule.


Mafuriko hayo yameifanya sehemu ya barabara kati ya Idsowe (Daraja la Mto Tana) na Gamba la Simba kutopitika kwa muda.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *