KAUNTI 9 KUADHIRIKA NA KUTKATIZWA KWA NGUVU ZA UMEME

Kampuni ya kusambaza umeme KPLC imetangaza kupotea kwa umeme katika kaunti mbali mbali nchini kuanzia mwendo wa s aa moja hadi saa kumi na moja jioni.
Kaunti za Nairobi,uasian gishu,nandi, siaya, kisii, nyeri, Kilifi,lamu na tanariver.
Katika kaunti Nairobi maeneo ya Kimathi Est, Jerusalem, Jericho, Metro Villas, Harambee Est, Uhuru East, Part of Buru Phase1, Buruburu.
Kaunti ya uasiangishu Kapseret Lemook, Mosombor, Shajnaand Quarry, Chinese Quarry, Nilkath Quarry, Kapteldon Nandi Emdin Lelmokwo, Kwa Philip Magut, Kipkongorwa huku siaya Simenya, Kodiaga, Maliera School, Sirembe, Lundha, Gogo Market, Nyangweso, Siriwo kisii Embonga Hotel, Kisii East Garage, CITAM Church, Senti, Botori SDA, Marshpark Hotel, Bosongo Hospital, Le-Premier Hotel, Kisii Junction.