#uncategorized

NANI ALIYEMUUA MWANABIASHARA SOMESH RAMESH

Maafisa wa polisi  katika eneo la Gigiri, Nairobi wanachunguza mauaji ya kutatanisha ya mfanyabiashara Somesh Ramesh Chander aliyepatikana akiwa ameuawa kwa kudungwa kisu mara tatu ndani ya gari lake Jumapili asubuhi kando ya Barabara ya Ngecha eneo la Nyali.

Ramesh mwenye umri wa miaka 54 ambaye alikuwa akiendesha biashara ya upanzi wa ardhi jijini Nairobi anaripotiwa kuondoka nyumbani kwake Spring Valley Jumamosi usiku kabla ya maiti yake kupatikana ndani ya gari lake kwenye mtaro kando ya Barabara ya Ngecha.

TUME YA HUDUMA ZA UMMA PSC YATANGAZA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *