#uncategorized

‘TUACHANE NA SIASA ZA BAJETI 2024 KATIKA HAFLA ZA MAZISHI’ WETANGULA

Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula amewarai wabunge kufuata mkondo sahihi katika mchakato wa kufanikisha mswada wa bajeti wa mwaka 2024-2025badala ya kupiga siasa katika mikutano adhara ilhali wao ndio wanaotunga sheria.


Akizungumza katika eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma wetangula amesema kuwa kuna baadhi ya wabunge hasa wa mrengo wa upinzani ambao wameanza kupinga mswada huo wa fedha katika hafla za mazishi badala ya bungeni.

JIMMY KIBAKI AJIUZULU KUWA KIONGOZI WA CHAMA

SHERIA MPYA YA KUDHIBITI MUGUKA NA MIRAA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *