#uncategorized

SYCHELLES YAJITOZA KWENYE KINYANGANYIRO CHA AU

Taifa la ushelisheli limekuwa taifa la hivi punde kujitoza katika  kinyanganyiro cha wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa jumuiya ya Afrika.

Ushelisheli imemuidhinisha aliyekuwa makamo wa rais Vincent Meriton kumenyana na watu wengine watatu akiwemo raila Odinga wa Kenya aliyekuwa Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Somalia yusuff Adam na mwenzake wa Djibout Mahamud Ali Yussuf.

Atakayechaguliwa atachukua nafasi ya Moussa Faki ambaye muda wake wa kujhudumu umekamilika.

Imetayarishwa na: Janice Marete

NATEMBEA NA WETANGULA KUKUTANA LEO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *