WAPI PESA YA JSS?

Bunge limeibua wasiwasi kuhusu madai ya ufisadi mkubwa katika utoaji wa fedha za wanafunzi kwa Shule za Sekondari za Vijana (JSS) kote nchini.
Kupitia Kamati ya Bajeti na Matumizi, Bunge limebaini kuwa makumi ya shule ghushi zilinufaika na fedha hizo kwa gharama ya shule zilizosajiliwa.
Haya yanajiri kufuatia mgomo unaoendelea wa wa walimu wa JSS ambao wanapendekeza kupewa kandarasi ya kudumu na nyongeza ya mishahara.
Imetayarishwa na: Janice Marete