RUTO KUKUTANA NA BARAK OBAMA LEO ALHAMISI

Rais William ameratibiwa kufanya mkuutano na aliyekuwa rais wa marekani Barak Obama leo hii,ruto ambaye yuko katika ziara ya siku nne nchini Marekani atafanya kikao hicho baada ya kupokelewa rasmi na rais wa sasa Joe Biden hapo jana.
Obama ambaye alikuwa rais wa 44 wa marekani ni mzaliwa wa hapa nchini kenya , amewahi kuzuru kenya akiwa seneta vile vile alipokuwa rais.
Rais ruto aliyekutana na rais Joe Biden jana jumatano na kujadili maswala ya teknolojia ya uvumbuzi vile vile uekezaji.
Imetayarishwa na Janice Marete