#Local News

BABU OWINO ASHUTUMU UBOMOAJI GIKOMBA

Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ameshutumu vikali uboaji wa makazi katika mtaa wa Gikomba jijini Nairobi

Akizungumza katika kaunti ya Machakos, Owino ameutaja ubomoaji huo kuwa wa kinyama na usiozingatia maslahi ya wamiliki wa biashara ndogo ndogo.

Aidha, mbunge huyo amemtaka rais William Ruto kuwapa waathiriwa wa Gikomba hifadhi kwenye makazi ya bei nafuu yanayojengwa na serikali.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

BABU OWINO ASHUTUMU UBOMOAJI GIKOMBA

ZIARA YA GACHAGUA BONDE LA UFA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *