#Local News

UPINZANI: UGAVI UZINGATIE MAHITAJI, SIYO IDADI

Viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa chama cha DAP-K Eugene Wamalwa, wanasisitiza kwamba mfumo wa ugavi wa mapato ya kitaifa uzingatie mahitaji ya kila kaunti, wakisema suala la idadi ya wat una upana wa eneo linazua mgawanyiko.

Katika kikao na wanahabari, viongozi hao wametaka mapendekezo ya ripoti ya maridhiano NADCO kutekelezwa.

Aidha, wameukosoa mswada wa kifefedha wa mwaka 2024-25 wakisema utaongeza gharama ya Maisha.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UPINZANI: UGAVI UZINGATIE MAHITAJI, SIYO IDADI

KOOME AAHIDI MAHAKAMA YA RUFAA ELDORET

UPINZANI: UGAVI UZINGATIE MAHITAJI, SIYO IDADI

ZIARA YA RAIS RUTO KAUNTI YA BUNGOMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *