SARAFU
Na katika ubadilishanaji fedha dola moja ya Marekani kwa sasa inanunuliwa kwa shilingi 128 na kuuzwa kwa shilingi 133 huku Euro moja ikinunuliwa kwa shilingi 136 na kuuzwa kwa shilingi 148.
Shilingi moja ya Kenya dhidi ya Uganda inanunuliwa kwa shilingi 30 na kuuzwa kwa shilingi 28 huku shilingi moja ya kenya dhidi ya Tanzania inanunuliwa kwa shilingi 20 na kuuzwa kwa shilingi 19.
Imetayarishwa na Maureen Amwayi
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































