KAMPENI ZASHIKA KASI MAGHARINI KILIFI

Wanasiasa wa mrengo wa azimio na kenya kwanza kaunti ya kilifi wameanzisha kampeni baada ya ushindi wa mbunge wa magharini Harrison Garama Kombe kutupiliwa mbali na mahakama
Chama cha ODM kikiongozwa na mwenyekiti wa vijana Samir Nyundo kinafanya kila juhudi kudumisha kiti hicho
Viongozi wa UDA wametoa hakikisho la Stanley Kenga kuibuka na ushindi ambao kulingana nao ulikuwa wake kabla ya mpinzani wake kutangazwa kuwa mshindi
Imetayarishwa na Janice Marete