#Local News

MSWADA WA FEDHA KUSOMWA KWA MARA YA PILI

Wabunge wameidhinisha kusomwa kwa mara ya pili ya makadirio ya swada wa fedha katika bajeti ya mwaka wa 2023-2024 pamoja marekebisho.

Marekebisho hayo yalipendekezwa na mwenyekiti wa kamati ya bajeti ambaye pia ni mbunge wa kiharu Ndindi Nyoro.

Nyoro aidha amesema kuwa marekebisho yaliyofanywa katika mswada huo utenga raslimali za ziada katika maeneo mahususi jinsi ilivyopendekezwa na wizara ya fedha.

Imetayarishwa na Janice Marete

MSWADA WA FEDHA KUSOMWA KWA MARA YA PILI

MAAFISA WA POLISI WAKAMATWA KWA MADAI YA

MSWADA WA FEDHA KUSOMWA KWA MARA YA PILI

MAHAKAMA YASITISHA UTEUZI WA ZABLON MOKUA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *