#Local News

AFUENI KWA MADAKTARI BAADA YA SERIKALI KUAGIZA WALIPWE

Serikali imetoa idhini kwa wizara ya fedha kutoa pesa za kuwalipa madaktari mwezi mmoja baada ya kutia Saini mkataba wa makubaliano ya kurejea kazini,

Huku muungano wa maafisa wa kliniki KUCO wakiongozwa mwenyekiti wa muungano huo Peterson Wachira, wameendelea kuilaumu serikali kwa kile kulingana nao ni kupuuzwa na serikali mbali na kutotengewa shilingi bilioni 3.5 za kuwaajiri maafisa wa kliniki na kuwapa marupurupu ili kusitisha mgomo wao.

Imetayarishwa na Janice Marete

AFUENI KWA MADAKTARI BAADA YA SERIKALI KUAGIZA WALIPWE

CBK: RIBA YA MIKOPO KUSALIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *