KRA YAHAMASISHA WAKAAZI WA MKOA WA PWANI KUHUSU ULIPAJI USHURU

Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini KRA imezindua mpango wa kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kulipa ushuru eneo la pwani
Mpango huo uliozinduliwa jijini Mombasa unalenga kaunti za pwani katika juhudi za kuafikia makadirio ya bajeti ya mwaka wa kifedha 2024-2025
Wakaazi wa eneo hilo vile vile wamehamasishwa kuhusu mpango wa msamaha yaani KRA amnesty program
Imetayarishwa na Janice Marete