VIONGOZI WA UDA WAMTAKA RUTO KUSITISHA MZOZO CHAMANI

Viongozi eneo la Bonde la ufa wanamtaka rais William Ruto kufanya kipaumbele mgogoro unaoshuhudiwa katika chama cha UDA ambapo yeye ndiye mwenyekiti.
Wakiongozwa na John Njuguna viongozi hao wanasema kwamba ruto anapaswa kushirikiana kwa karibu na naibu wake kutafuta suluhu la kudumu kufuatia mzozo huo.
Njuguna vile vile amewarai wabunge kufanya maslahi ya wananchi kipaumbele kabla ya kuidhinisha mswada wa fedha 2024-2025.
Imetayarishwa na Janice Marete