SENETI YAIDHINISHA NYONGESA YA MGAO WA KAUNTI

Bunge la seneti limepitisha mswada wa nyongeza wa mgao wa serikali za kaunti.
Mswada huo umeungwa mkono na maseneta 32 unapendekeza nyongeza ya kima cha shilingi bilioni 55.45 kwa serikali za kaunti.
Kwa mujibu wa seneta wa kwale Issa Juma mgao huo utaimarisha ugatuzi.
Imetayarishwa na Janice Marete