RUTO NA GACHAGUA SIO MAADUI ASEMA BABU OWINO
Mbunge wa embakasi mashariki Babu Owino amejitokeza kupinga madai yanayoendelea kuibuliwa kwamba rais william ruto na naibu wake Rigathi Gachagua kwamba wanatofautiana.
Kwa mujibu wa Babu wawili hao hawana tofauti zozote na kwamba tofauti zao ni njama tu ya kutafuta uelewano na wakaazi wa mlima Kenya baada ya wao kukosa kutimiza ahadi walizotoa kwa wakaazi hao.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































