#Local News

RUTO YUKO KATIKA ZIARA BARANI EUROPA

Rais william Ruto yuko barani Europa kuhudhuria makongamano mawili barani humo.


Ruto aliondoka nchini jana mwendo was aa nne usiku na anatarajiwa kkuhudhuria kongamano la 50 la mataifa wanachama wa muungano wenye nguvu za kiuchumi duniani G7 litakalofanyika jijinik Apolia nchini Italia.


Ruto vile vile anatarajiwa kuhudhuria kongamano la kwanza kuhusu amani nchini Ukrain litakalofanyika uswizi.

Imetayarishwa na Janice Marete

RUTO YUKO KATIKA ZIARA BARANI EUROPA

AFARIKI AKIFARIJI

RUTO YUKO KATIKA ZIARA BARANI EUROPA

WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI BARABARA YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *