MBAPPE AJIUNGA NA REAL MADRID

Nahodha wa Ufaransa Kylian Mbappe jana Jumapili alikiri kwamba hataiwakilisha nchi yake kwenye michuano ya Olimpiki ya Paris ijayo
Mbappe amesajiliwa na klabu Real Madrid na atajiunga na mabingwa hao wa Ulaya kwa msimu mpya chini ya uhuru wa mkataba kutoka Paris Saint-Germain
Msimu wa Uhispania unatarajiwa kuanza wiki moja baadaye, wakati Madrid pia wanatarajiwa kucheza na Atalanta kwenye UEFA Super Cup huko Warsaw mnamo Agosti 14
Imetayarishwa na Nelson Andati