#Local News

OSORO KWA WAKENYA: UNATARAJIAJE BARABARA, UMEME NA AJIRA BILA USHURU ZAIDI?

Mbunge wa Mugirango Kusini Silvanus Osoro amewakosoa Wakenya wanaopinga Mswada wa Fedha wa 2024 kuhusu msururu wa ushuru wa ziada unaopendekeza.

Mswada huo ambao umepingwa na wengi imekuwa kiini cha mabishano kati ya wabunge na Wakenya vile vile ilishuhudia maandamano jijini kabla ya kuwasilishwa kwake mbele ya Bunge.

Imetayarishwa na Janice Marete

OSORO KWA WAKENYA: UNATARAJIAJE BARABARA, UMEME NA AJIRA BILA USHURU ZAIDI?

KIKOSI CHA KENYA CHAWASILI MOROCCO TAYARI KWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *