KINA MAMA TUJITEGEMEE

Kina mama katika kaunti ya transnzoia wamehimizwa kujiunga na vyama vya ushirika na biashara ndogo ndogo ili kuimarisha uchumi wa taifa na mapato yao.
Afisa wa mamlaka ya vyama vya ushirika Philomena Kirwa akitoa mafunzo kwa wajane na wakongwe eneo mla Waigama wamesema wamama wana jukumu kubwa katika ukuaji wa uchumi
Imetayarishwa na Janice Marete