KITAELEWEKA BUNGENI LEO

Bunge la Kitaifa leo linatarajiwa kupiga kura kuunga au kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024 ambapo wabunge watapiga kura kipengele moja baada ya kingine Pande za Kenya Kwanza na Azimio zinajiandaa kutetea marekebisho mbalimbali ambayo yamependekeza kwenye Mswada huo huku mrengo wa Azimio wakihapa kuangusha mswada mzima.
Imetayarishwa na Janice Marete