WATU SITA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 15 MAUAJI YA JUJA GEORGE THUO.

Watu sita waliopatikana na hatia katika mauaji ya aliyekuwa mbunge wa Juja George Thuo wamehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela.
Mahakama pia imebainisha kuwa wana haki ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo.
Sita hao wamepatikana na hatia ya kumuua mbunge huyo wa zamani mwaka wa 2013 katika eneo moja la burudani mjini Thika
Imetayarishwa na Janice Marete