SHINIKIZO JUU YA SHINIKIZO KWA RUTO

Viongozi wa mashirika ya kijamii wamemtaka Rais William Ruto kutekeleza masuala ambayo yemeibuliwa na Wakenya na hasa kupunguza matumizi ya serikali.
Wakiongozwa na afisa mkuu wa shirika la Transparency International Irungu Houghton, viongozi hao wamekosoa visa vya utekenyaji nyara vinavyoaminika kutekelezwa na maafisa wa polisi kwa lengo la kuzima sauti zinazopinga serikali.
Aidha, wameapa kumshtaki Inspekta Mkuu wa polisi Japheth Koome kutokana na dhuluma dhidi ya wanahabari wakati wa maandamano.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa