‘MAJENEZA YA MAANDAMANO’ NAIROBI

Waandamanaji wameingia na takribani majeneza 10 katikati mwa jiji la Naiorbi, baadhi yao yakiwa yamefunikwa kwa bendera za taifa.
Waandamanaji hao wameyaweka majeneza hayo kwenye foleni, na baadhi yao wakiyafungua majeneza hayo.
Hata hivyo, maafisa wa polisi wameyachukua na kuyapakia katiika lori moja jeupe, na haijulikani ni wapi wameyapeleka.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa