GEN-Z MLIKENI SERIKALI ZA KAUNTI;ELSIE MUHANDA ASEMA

Mwakilishi wa kike katika kaunti ya Kakamega Elsie Busihile Muhanda amewataka vijana kuanza kumlika serikali za kaunti ili kubaini iwapo viongozi wanatekeleza miradi ya maendeleo kama walivyoahidi wakati wa kampeni.
Muhanda aidha ameonyesha kurithishwa na juhudi za vijana wanaoendeleza maandamano ili kushinikiza serikali kutekeleza ahadi zake kwa wananchi.
Imetayarishwa na Janice Marete