#Local News

WAADHIRIWA WA MAANDAMANO KAKAMEGA WAOMBA MSAADA

Zaidi ya watu kumi waliojeruhiwa wakati wa maandamano katika kaunti ya Kakamega wametoa wito kwa gavana wa kaunti hiyo Fernadez Barasa kuwasaidi ili madaktari waweze kuwaondolea risasi mwilini kwa kuwa hawawezi kumudu gharama ya matibabu.

Imetayrishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *