WEMBE NI ULE ULE ;MALALA AWAAMBIA MAGAVANA
Katibu mkuu wa chama cha UDA Cleophus Malala ameibua mjadala wa kuwataka magavana kufutilia mbali mgao wao wa bajeti katika afisi za mabibi au mabwana zao.
Kulingana na Malala magavana wanapaswa kuiga mfano war ais Ruto kwa kufutilia mbali mgao uliotengewa mama wa taifa bi Rachel Ruto na mkewe naibu wa rais Dorcus Gachagua.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 

























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































