JIMMY WANJIGY AMKASHIFU RUTO KWA KUTEUA JOPOKAZI

Mwanasiasa Jimmy wajigy amemkashifu rais William Ruto kwa kuteua jopo kazi la ukaguzi wa deni la umma ili kubaini hali ya deni la umma na kutathmini kama kulikuwapo na dhamani ya fedha zilizokopwa
Kwa mujibu wa Wajigy rais ruto anapaswa kuithinisha tume ya kimahakama ya uchunguzi inayoongozwa na majaji wanaofaa ambao watakusanya maoni kutoka kwa mashirika husika.
Imetayarishwa na Janice Marete