TUUNGANE TUKABILIANE NA UFISADI
Wakenya wamehimizwa kujitolea kuunga mkono michakato mbali mbali ya kupiga jeki juhudi za kumaliza ufisadi huku Kenya ikijiunga na mataifa mengine ya bara la afrika kuathimisha siku ya kukabili ufisadi, Africa Anti-corruption day barani humo.
Kulingana na Kisumu County Accountability Alliance kikundi kinachojumuisha wanaharakati, kuna haja ya wananchi kukemea visa vya ufisadi na kuwaunga mkono wanaojitwika jukumu la kuwafichua wafisadi katika jamii.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































