#Local News

FORD FOUNDATION; SIO SISI TUNAFADHILI MAANDAMANO

Wakfu wa Ford Foundation wenye makao yake nchini marekani umefutilia mbali madai yaliyoibuliwa na rais William Ruto kwamba umekuwa ukifadhili maandamano ya humu nchini.

Kwa mujibu wa Ford Foundation tangu kuanzishwa kwake shirika hilo limejitenga na maswala ya kisiasa katika mataifa ya Afrika mashariki na kusisitiza kuwa utasalia kufanikisha lengo lake ambalo ni kufanikisha maendeleo wala sio siasa.

Kauli ya Ford Foundation inajiri baada ya rais Ruto kukashifu wakfu huo kwa madai ya kuchochea uhalifu na utovu wa usalama kupitia maandamano ya vijana wa gen-z.

Imetayarishwa na Janice Marete

FORD FOUNDATION; SIO SISI TUNAFADHILI MAANDAMANO

MWANGA WA MWANGAZA WADIDIMIA

FORD FOUNDATION; SIO SISI TUNAFADHILI MAANDAMANO

WAKULIMA WA MIWA MIGORI WATAKA WASAGAJI KUWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *