#Local News

WAKFU WA FORD FOUNDATION WASEMEKANA KUTOFAFANUA UFATHILI WAKE

Katibu katika wizara ya mashauri ya kigeni Korir Singoi ametoa taarifa kwamba wakfu wa FORD FOUNDATION haujatoa ufafanuzi unaohitajika kufuatia madai yaliytoibuliwa kwamba wakfu huo unafathili maandamano ya humu nchini.

Singoi aidha amefichua kuwa licha ya serikali kupitia wizara ya mashauri ya kigeni kuandikia wakfu huo barua likitaka kutoa maelezo zaidi kuhusu ufathili wake wa mashirika ya kijamii humu nchini bado halijajibu barua hiyo.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKFU WA FORD FOUNDATION WASEMEKANA KUTOFAFANUA UFATHILI WAKE

ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUMKATA JIRANI YAKE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *