#Sports #Volleyball

NINA BAHATI MTONDO ASEMA ATUKA

Nahodha Wa Malkia Strikers, Trizah Atuka Anasema Ana Furaha Na Bahati Kuchaguliwa Kama Mpeperushaji Bendera Wa Kenya Katika Hafla Ya Kipekee Ya Ufunguzi Wa Michezo Ya 33 Ya Olimpiki Itakayoandaliwa Ijumaa Huko Mto Reine Jijini Paris, Ufaransa.

Atuka Alichaguliwa Kama Mshika Bendera Wa Kenya Na Kamati Ya Kitaifa Ya Olimpiki NOCK Na Odi Ya

Kusimamia Sherehe Hizo Za Funguzi Na Atashirikiana Na Mwanariadha Mwenye Kasi Zaidi

Barani Afrika, Ferdinand Omanyala.

Atuka Atakuwa Akishiriki Kwa Mara Ya Kwanza Katika Michezo Hiyo Ya Olimpiki Baada Ya Kukosa Makala Yaliyopita, Huku Omanyala Akishiriki Kwa Mara Yake Ya Pili Kwenye Olimpiki, Shinikizo Likizidi Kumtaka

Kuwasilisha Medali Yake Ya Kwanza Katika Jukwaa Hilo La Kimataifa.

Malkia Strikers Watafungua Kampeni Yao Dhidi Ya Brazil Walio Katika Nafasi Ya Tatu Siku Ya Jumatatu, Kisha Kumenyana Na Poland, Iliyoorodheshwa Ya Saba Duniani, Jumatano Wiki Ijayo, Kabla Ya Kukamilisha Hatua Ya Makundi Kwa Mpambano Dhidi Ya Japan Walio Nambari Tisa Mnamo Agosti 3.

Nahodha Atuka Anasema Wako Tayari Kuwapa Wakenya Matokeo Ya Kujivunia.

Imetayarishwa na Nelson Andati

NINA BAHATI MTONDO ASEMA ATUKA

KENYA YASHUKA DIMBANI NA ARGETINA

NINA BAHATI MTONDO ASEMA ATUKA

SIMBAS YATAJA KIKOSI CHAKE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *