#uncategorized

‘MHARIBIFU WA SHEREHE’ AKAMATWA ELDORET

Huku mji wa Eldoret ukijiandaa kupandishwa hadhi na kuwa jiji la tano nchini wiki ijayo, polisi mjini humo wamemkamata mwanamme mmoja aliyenaswa kwenye kamera za siri aking’oa miche iliyokuwa imepandwa kwa matayarisho ya sherehe hizo.

Huku lengo la mshukiwa kuharibu miche hiyo halijabainika, baadhi ya wenyeji wanasema kwamba ana akili tahira na anazuiliwa katika kituo cha polisi cha central.

Haya yamejiri siku moja tu baada ya viongozi wa kaunti za eneo la Kaskazini mwa bonde la ufa NOREB kukutana mjini Eldoret kujiandaa kwa sherehe hizo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

‘MHARIBIFU WA SHEREHE’ AKAMATWA ELDORET

POLISI WAMHUSISHA GACHAGUA NA MAANDAMANO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *