#Local News

AMPIGA MAWE ASKARI NANDI

Afisa wa polisi anauguza jeraha kichwani baada ya kupigwa mawe na mwanamume aliyekuwa akimzuia kufukua maiti katika kijiji kimoja eneo la Kaimosi, Kaunti ya Nandi.

Maafisa wawili wa polisi walikuwa wamekimbia hadi kijiji cha Kiborgok ili kumzuia mwanamume asifukue mwili wa Darling Rukabite wakati kisa hicho kilipotokea.

Timu hiyo ilifika eneo la tukio na kumkuta mtuhumiwa akiwa katika harakati za kuutoa mwili huo na alipotahadharishwa kuwa asiendelee, aliokota mawe mawili na kuwarushia askari hao na kumpiga mmoja wao kichwani.

Imetayarishwa na Janice Marete

AMPIGA MAWE ASKARI NANDI

AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KIAMBU

AMPIGA MAWE ASKARI NANDI

DUALE AKANA KUWAATISHIA WANAJESHI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *