CHPS ISIOLO WAONYA KUHUSU MGOMO

Wahudumu wa afya mashinani maarufu kama CHPs katika kaunti ya Isiolo wametoa makataa ya siku 7 kwa serikali ya kaunti hiyo kuwalipa mishahara yao la sivyo wagome.
Kwa mujibu wa wahudumu hao, licha ya kujituma kazini na kuhakikisha viwango vya afya vinaimarika, serikali ya Isiolo imekosa kutambua juhudi zao.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa