#Local News

GAVANA WANGA ANATOSHA

Viongozi wa kike wa chama cha ODM katika kaunti ya Homa Bay wamependekeza gavana Gladys Wanga kuchaguliwa kuwa naibu kiongozi wa chama hicho baada ya aliyekuwa naibu mwenyekiti wa chama hicho Ali Hassan Joho kuteuliwa kwenye baraza jipya la mawaziri la rais William Ruto.

Wakiongozwa na kiongozi wa chama hicho wa kina mama tawi la Homa Bay Peris Ogutu wametoa wito kwa kiongozi wa ODM Raila Odinga kumuhithinisha gavana wanga kuwa naibu mwenyekiti wa kwanza wa kike katika chama hicho.

Imetayarishwa na Janice Marete

GAVANA WANGA ANATOSHA

MBOGA ZAKATAA KUSHUKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *