KENYA YAJIUNGA NA MATAIFA MENGINE KUSHEREHEKEA SIKU YA KUNYONYESHA
Lydia Kimani msimazi wa lishe bora amewarai waajiri kuwapa kina mama waliojifungua likizo ili waweze kuwanyonyesha wanao huku Kenya ikijiunga na mataifa mengine kusherehekea wiki ya kimataifa ya Kunyonyesha.
Kimani ameongeza kuwa likizo ya uzazi ni haki na muhimu katika afya ya mama na ukuaji wa mtoto.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































