LINDA MAMA IKO NDANI YA SHIF
Mpango wa linda mama utajumuishwa katika hazina ya SHIF kinyume na ripoti kwamba serikali imeuondoa.
Katibu wa afya ya umma Mary Muthoni amesema kuwa serikali imetenga bilioni 2 mwaka huu kwa ili kufanikisha mpango huo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































