#Local News

MWAMBU ATEULIWA KUONGOZA UDA BUNGOMA

Chama cha UDA kaunti ya Bungoma kimemteua aliyekuwa mbunge wa Bumula Mwambu Mabonga kuwa kuwa kaimu mwenyekiti wa chama hicho na kumfurusha mbunge wa webuye magharibi Dan Wanyama kwa tuhuma za kulemaza shughuli za chama hicho.

Wakizungumza baada ya mkutano kwenye afisi za chama hicho, wanachama hao wakiongozwa na katibu mtendaji Kiprotich Siele wamesema kwamba uamuzi huo unalenga kukiimarisha chama hicho.

Aidha, wamesema kuwa mabadiliko zaidi yanatarajiwa katika kiwango cha wadi chamani humo kweney kaunti ya Bungoma. 

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MWAMBU ATEULIWA KUONGOZA UDA BUNGOMA

MGOMO WA UASU WANUKIA

MWAMBU ATEULIWA KUONGOZA UDA BUNGOMA

WITO WA COG KWA WABUNGE KUHUSU MSWADA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *