#Local News

WAKENYA WALIPIA KILOWATI MOJA SHILINGI 28

Kamati ya bunge la kitaifa ya kawi imezitaka taasisi zinazohusika kupunguza mara moja bei ya umeme ili kuwaruhusu wakenya kutumia umeme huo katika shughuli zao za kila siku kwa bei nafuu.

Vile vile wameitaka kueleza ni kwa nini mkenya ananunua kilowati moja ya umeme kwa shilingi 28 ilihali mataifa Jirani wananunua kilowati moja kwa shilingi 12 pekee.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKENYA WALIPIA KILOWATI MOJA SHILINGI 28

CHEPTEGET HAYUPO MBIONI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *