#Local News

RUTO ATANGAZA ADHABU KWA MAAFISA WANAOTUMIA RASILIMALI ZA UMMA VIBAYA

Rais William Ruto ametangaza hatua kali kwa maafisa wa umma kama sehemu ya ahadi yake ya kumaliza ufisadi katika sekta zote za serikali.
Katika kikao cha Ikulu muda mfupi baada ya kuwaapisha Makatibu 19 wa Baraza la Mawaziri, Ruto ameahidi kuwachukuliwa kuwakabili maafisa wa uhasibu au afisa yeyote wa umma atakayetumia vibaya rasilimali za umma.

Kutoza kunamaanisha kuweka ada ya ziada au malipo juu ya bei halisi. Kwa mfano, kutozwa kwa ushuru wa mapato kunamaanisha ushuru wa ziada kulipwa na afisa maalum, ambapo kikomo kinawekwa na serikali.

Imetayarishwa na Janice Marete

RUTO ATANGAZA ADHABU KWA MAAFISA WANAOTUMIA RASILIMALI ZA UMMA VIBAYA

OMBA UFADHILI WA CHUO KIKUU KABLA YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *