AMEENDA MBELE ZA HAKI

Aliyekuwa rais wa CAF 1988-2017 Issa Hayatou amefariki jijini Paris.
Hayatou, nguli katika soka , aliacha alama isiyofutika katika soka la afrika kupitia uongozi wake wenye maono na kujitolea bila kuyumbayumba kwa maendeleo ya mchezo huo barani kote.
Alizaliwa agosti 9, 1946, huko garoua, cameroon, hayatou hakuwa tu mwanasoka wa zamani bali pia mmoja wa wasimamizi wa michezo wenye ushawishi mkubwa barani afrika.
Imetayarishwa na Nelson Andati