MUDAVADI AWATAKA WAKENYA KUKUMBATIA UBUNIFU
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewarai vijana Kukumbatia mpango wa mtandao wa facebook kuanza kutoa malipo kwa ubunifu
Mudavadi anasema kuwa vijana ndio wengi nchini na kwamba wana uwezo mkubwa kujiimarisha kimaisha
Mudavadi aina amewahakikishia vijana kuwa serikali imejitolea kujenga vituo vya kiudigitali kote nchini ili kusaidia kukuza ubunifu kwa vijana
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































