SENETI KUJADILI HOJA YA KUMBADUA GAVANA MWANGAZA LEO

Bunge la seneti leo hii linatarajiwa kujadili hoja ya kumbandua mamlakani gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza hii ikiwa ni mara ya tatu kwa gavana huyo kubaduliwa mamlakani.
Spika wa bunge la seneti Amason Jeffa Kingi aliiitisha kikao hicho baada ya wabunge 49 wa bunge la kaunti ya meru kati ya 69 kupiga kura ya kuunga mkono hoja ya kubanduliwa kwa gavana Mwangaza.
Kikao hicho kinatarajiwa kuanza mwendo was saa nane.
Imetayarishwa na Janice Marete