#Athletics #Sports

TIMU KENYA WAREJEA NYUMBANI

Timu mashujaa ya Kenya ambayo iliwakilisha kenya kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 ilirejea nchini kwa waziri wa Michezo Kipchumba Murkomen alikua katika uwanja wa ndege kuwakaribisha wanariadha hawa.

Kikosi cha kwanza kiliongozwa na mwana dada Faith Kipyegon mshindi wa mita 1500 na Beatrice Chebet wa mita 5000 na 10000.

Kikosi cha pili ambacho kimewasili asubui ya leo kiliongozwa na wakiongozwa na Emmanuel Wanyonyi mshindi wa medali ya dhahabu katika mbio za mita 800, Benson Kipruto aliyeshinda medali ya shaba marathon, na Ronald Kwemoi aliyeshinda medali ya fedha ya mita 5000,

Murkomen amesema sasa umakini ni kwa toleo la 2028 huko Los Angeles nchini Marekani.

Faith Kipyegon alishukuru serikali kwa kusimama nao katika mashindano hayo.

Imetayarishwa na Nelson Andati

TIMU KENYA WAREJEA NYUMBANI

SIJASTAAFU

TIMU KENYA WAREJEA NYUMBANI

ATALANTA KUKABANA NA REAL MADRID

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *