#Local News

OPIYO; WADOGO WANGU MUWE TAYARI KUHOJIWA NA UMMA

Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi anasema kuwa wakenya watafahamisha kuhusu kile ambacho wizara ya nishati itafanya kupata umeme kwa bei nafuu.

Wandayi aidha ameongeza kuwa atapitisha sera ya uwazi akiwataka wadogo wake kuwa tayari kuchunguzwa na umma kuhakikisha uwajibikaji katika wizara hiyo.

Imetayarishwa na Janice Marete

OPIYO; WADOGO WANGU MUWE TAYARI KUHOJIWA NA UMMA

HUDUMA ZA AFYA YA AKILI KUTOLEWA KWOTE

OPIYO; WADOGO WANGU MUWE TAYARI KUHOJIWA NA UMMA

RUTO; HONGERA TIMU KENYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *