MUDAVADI; KUPUNGUZWA KWA BAJETI KUMELEMAZA MIRADI YA MAENDELEO

Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amesema kuwa kupunguzwa kwa bajeti kumesababisha kutofikia malengo makuu katika serikali.
Mudavadi ameongeza kuwa mikakati imewekwa kuhakikiisha kuwa bajeti iliyopo kwa sasa inatosheleza sekta zote na kufanikisha maendeleo.
Imetayarishwa na Janice Marete