#Local News

GAVANA WA BUSIA ATAKIWA KUVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI LA KAUNTI

Mbunge wa Bundalangi Raphael Wanjala amemtaka gavana wa kaunti ya Busia Paul Ontwoma kulivunja baraza lake la mawaziri ili kuwatimua mawaziri wazembe na kuwateua wengine na ambao wako tayari kuwafanyia wakaazi wa kaunti hiyo kazi.

Imetayarishwa na Janice Marete

GAVANA WA BUSIA ATAKIWA KUVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI LA KAUNTI

ILKAY ASTAAFU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *